
Hii mwaka ilianza na stress sana kwa biz. A part from the ongoing pandemic and frequent lock down zenye zilifanya environment ya kufanya business kuwa hard. The lesson nimejifunza hii mwaka among them imekuwa importance ya savings. Kuna time businesses ilikuwa hard kabisa ku break even kabisa, ikabidi ni rely on the small saving nilikuwa nimekeep previous months. Nili learn pia importance ya kukuwa na trusted friends. Kuna wakati wao ndio waliniokolea mara kadhaa kwa biz. #Tujijenge
0
0
0