Hii mwaka nimeacha Ku buy fast food for lunch nikiwa job,napika supper mob alafu na beba ya Ku kula lunch plus no me change mambo na transport means yangu place nikipanda matatu nalipa 80 bob daily sahi nangojea train nalipa 40Bob instead,mambo na kwenda out kujienjoy na mabeste nimepunguza tunacost share ya drinks na food tunapiga sherehe kwa nyumba instead alafu nikitaka kuingia online instead ya Ku buy credit daily nasuscribe monthly plan..imenisaidia Sana na January yangu haijakuwa Njanuary
0
0
0