
Hii mwaka nimeanza farming, nalea sungura na pia nimepanda viazi na beans fulani zinaitwa greek gigantes. Nimeplant nursery ya miti pia na iko na over 1000 seedlings saa hii. Nilijoin course fulani pia ya software engineering ndio nicheki vile naeza leverage tech na kitu kama farming sana sana na pia nione vike naeza jenga community yangu.


0
0
0