
Hii mwaka nimelearn si poa kuinvest mahali pamajo.....nilikuwa nime invest Kila kitu financially Kwa business yangu ya salon by the beginning of the year kumbe my village people hawapati usingizi 🤣🤣 everything turned down to ashes😭😭😭hii mwaka nayo imenislap😳nimelearn kuwa na option B ni kitu poa sana
0
0
0