
Hii na jua kila msee ako kwa biz anakuwaga na trick yake ya ku maximize sales. Mimi kwa biz yangu ukuwa ile design ya "Chukua movies 10 ntakuongezea mbili za sare"
So kwa biz yako wewe una hack gani yaku maximize sales??
#BizTips #MondayBizHacks.
0
0
0