Hii Nairobi hakuna kulala 😂🔥 kujituma ni lazima! Especially kwa streets za Kirinyaga Road ukingia tu na gari kutafuta lunch, unajua umeingia zone ya hustlers 💪 Kidogo kuna jamaa anakudirect reverse kama traffic police 😅 Hujatulia, mwingine tayari anakutafutia parking. Bado hujazima engine, tint imeanza kuwekwa kwa windscreen. Mwingine anauliza, “Boss kuosha?” Na kabla hata ushuke vizuri, mechanic ako kwa bonnet tayari kuangalia engine kama daktari 😂 Hii town ya Nairobi kila mtu anatafuta daily bread. Hakuna kusubiri opportunity, wanaitengeneza wenyewe. Opportunity iko kila mahali. 👉 Usingoje kuajiriwa
0
0
0