
Hii ndio chance ya kutoka kwa inbox za clients wachoyo.
Kama uko na design brain fiti, Oraimo wanakutafuta. Wanataka msee anaweza kucheza na visuals na kuleta ideas fresh kwa table.
Deadline ni 15th April.
Tuma application hapa: care.ke@oraimo.com

0
0
0