Hii ndio hustle yangu nashukuru mesh during December walinipea 3k nikaamua kufanya biz..although sahi customer sio wengi nashukuru kwasababu siko idol.Thanks Mesh