
Hii ndio mwezi ya comrades wanareport chuo kama freshers. Comrades ni kitu ama mambo gani mnataka kuwaambia ndio wasije kusema hatujawa-warn ? On my side nataka kuwashow if there is any biz anaweza chapa hapo chuo he or she should go on and do it and wouldn't regret

0
0
0