Hii ndio time fiti kama uko ushago unaweza anza biz ya kuuza magunia since farmers are approaching harvesting time
Tafuta hizo packaging materials tembeza kwa homestead uweke profit kwa mfuko