Hii ni food creativity ama ni ku overdo? "Smongwashe"Ndio aanaiita - Base ni Chapo then unawekewa ngwashe na sause 🤔 . MAAJABU!
Newest street food! Nani amepata kuteremsha hii?