Hii ni platform poa ya kushare some of the stories of change kutoka ghetto. So niko na stories of change na the change makers kwa community kadhaa I'll be sharing hapa #story_yangu ndio slogan