
Hii ni shoe rack, hapo mombasa market mall inaenda at 1000/=. Shoe racks kama hii na bed pellets, sisi huziunda from furniture wastes kama spoiled beds na chairs zenye ziko abandoned. The tunazimarket mombasa market mall customers wanazipata hapo.
Secondly tao plasts ziko everywhere, kwanza hizi chupa za maji, ni most wastes kila mahali. Mimi nmerecruit vijana wawili, wao huenda kwa events wanacollect hizo chupa, tunazirecycle halafu tunauzia watu wanauza juice na maji.
Idea ya mwisho yenye bado hatujaanza but tuko in early stages. Ni wastes za chupa kama chupa za pombe. My partner ni mtu wa arts, anajua ku sculpture hizo chupa into things kama glass za maji. Hii pia ni bizz fiti sana. Hivi ndio tuna turn trash into treasure. #TrashToTreasure
