
Hii ni ya mama na baba mboga
- Ukienda soko kununua vitu vya kibnda.. do you prefer kuuziwa ki ratili ama ya kuhesabu
- Ukinunua nyanya/vitunguu/ndizi etc Kwa bei ya 5@20.. is it more profitable ukija uzia raia na bei ya 1@5 ama 3@20 .. as in kati ya kuuza Moja Moja ukilinganisha na hii ya 3@20 ama 3@10.. ipi nzuri
Ebu tue tuelimishane.

0
0
0