
Hii period ya corona has really changed and affected alot, mastudents tuko home,hakuna cha kupewa allowances from parents,most tunamiss hio life but pia this has taught us that tunaezakua independent...coming up with life hacks na hustles za kutusaidia kumake dooh.
0
0
0