
Hii platform Ina noma ku upload media. Ama ni Mimi tu na experience hio shida? Kindly provide guidelines ya media uploads na types. Ukijaribu ku upload media inafail so you have to keep redoing posts. Alafu ikiupload media zinakua pixelated, grainy and very degraded. Ni platform fiti lakini ii shida iangaliee asap. Showcase platforms should allow HD pics au sio?
0
0
0