Hii platform ni ya kusaidiana,kama uko na job or connection unadai kusave msee,just post it for everyone,hii story ya ati Whatsapp for connection,sijui oo,haibambi ata kidogo..we all want to help or get help,