Hii post unaweza tumia Mesh 👇🔥❤️ Happy Valentine Meshers! ❤️🔥 Valentine imepita sasa tuingie biz bana 😄💪 Leo nimekuwa nikiwaza… biz ya packaging water (maji ya kunywa) iko aje? Kama nataka kuanza, inachukua nini? vifaa gani muhimu? licences gani? na capital ya kuanzia ni around how much? Wasee wenye wako kwa hii line ama mna idea, nielekezeni 🙌💧
0
0
0