
Hii sasa ndio tunaita innovation . Sink baze yakuflash the amount of water bills huyu msee anaeza save in a months.. watu wa construction, ushawahi eka ama kuona story kama hii Kenya ?juu so far Mimi naoine tu online. Its actually very efficient mnaonaje hii maneno

0
0
0