
Hii season football jerseys hazikai kwa pitch pekee 😎 — zinaweza attend wedding, brunch, ama hata state function bila security check 😂😂
Meshers, kama bado hujafungua biz ya kuuza hizi jerseys, uko nyuma! Hii ni fashion meets football meets Gala Asleep in Church drip! Hata watu wa harusi wanachagua jerseys kuliko suits — imagine best man akiwa na Arsenal home kit na bow tie 😂
Uza jerseys, lipa bills, na bado ukue na change ya mshene.




0
0
0