
Hii season ya mvua the following items ziko on market sana
- Umbrella
- Raincoat
- Jamper
- Shower caps
- Kahawa moto Hizi ni vitu unaweza uza hata ukiwa na pesa kidogo, let's take advantage of the weather guys, kama uko na any idea ya kitu inaweza sell hii raining season ebu tuchapiane hapa comment section
0
0
0