
Hii si Tip, is just my experience with Bees ushago🥲(a biz parody)
Shida ya kukaa ocha ni unaweza kaa wiki mbili hujaona ata 10bob,lakini hulali njaa juu managu na misheveve iko kwa shamba. You will end up doing all sorts of businesses to touch 20 shillings. Pale longonot after tumekamatwa tukiuzia wazungu kaiyafa in the name of "indigenous fruits" kiliumana mbaya sana. KWS walitunyorosha kama brukenge,
What came after there is possibly the brokest season of my life. Yani miezi tatu sijaguza ata 5bob,kazi ni kutokea shamba saa nane nazubaa mpaka saa kumi nikingoja supper. Hapa ndio kiarie alikuja na deal ingine,alikua ameangukia Tender ya kusupply nyuki kwa Mr mambo who had recently acquired bee hives to venture into bee farming. Shida yake kubwa ilikua ni kupata nyuki.
To bring the bees you need the queen bee,the one with the red head,whom the bees protect with their lives. Sasa hapa ndio kiarie alitengeneza teargas,akachukua mavi ya ng'ombe imekauka akarusha kwa mkebe ya rangi na akarusha makaa moto. Moshi inatoka hapo nyuki zinafaint 12 hours.That is what he told me. Woi,Akiamungu sijai ona usiku mrefu ivo,Queen bee nilikua nimerusha kwa mfuko ya jacket lakini nyuki zilifaint kweli? nikama zilienda zikaosha macho zikarudi full force. Apron nilikua nimevaa ziliitafuna ikakaa kamisi buana. Kiarie amelala chini flat kama sniper after kuona nimevamiwa,that is how i Left my Jubilee jacket in wakimothos farm,where we were stealing bees. Wale mnaniulizanga kwani baba yangu alikua mchinese natumai mmeelewa,nyuki si mcheso
Aki mkiona napigana na ruto namna hii nijuu sitaki kurudi ocha,nikubad. It is very catiwompas and caliwombos