
Hii site waliongeza hizo types of jobs earlier,kuna matasks kadhaa za kufanya na unaget tu doo fiti,wanalipa na Bitcoin,Litecoin na Airtm . Paypal sio active sana. The types of jobs zenye utafanya zile simple zenye hazihitaji skills apart from kujua kutumia comp ni za SEO+PEOMOTE CONTENT TASKS. Hizo ndo me hufanya sana sana na ni mingi sana. Each Tasks ya SEO+PROMOTE CONTENT inatake around 3minutes to compete na ni $0.3 per task,so itategemea bidii yako . I suggest pia ukue na Binance account ndo utoe doo yako iingie hapo. Picoworkers: https://picoworkers.com/?a=...
Binance: https://www.binance.com/en/...
YouTube video :https://youtu.be/cRS9MWIgCI4




0
0
0