Hii situation ya kusema "nitafanya kesho" kila siku mna-deal nayo aje?
Shugli ni kibao, masaa ndio machache.
Time inakimbia kama Omanyala.