Hii stori ya 25th june memorial protests inakaa kuwa mbaya.The government imewarn plus Former VC Gachagua akawarn tena.Kama utakuwa na anything important wee kaa kwa nyumba. Stay safe.