Hii stori ya Curfew imefanya biz ya bodaboda ikakuwa fiti sana but mvua nayo haiachi wasee wa-prosper. Wasee mtaani wana-adapt aje na izi issues? #ShujaazBiz