
Hii story ya El Chapo machines mna-feel aje??
Personally, I'm not for the idea cause wasee wengi watapoteza income! Imagine ule msee ntaani anapika na kuuza/supply chapos, then machine ikuje inamaanisha anapoteza customers na job inaisha.
Ata cooks wa ma-shule watapoteza jobs zao machine ya ku-make 1 million chapos ikikuja.
Tuchapiane kwa comments!
0
0
0