Hii story ya mazematics si fiti. Juu ata kwa biz mazematics ni muhimu sana. Kama biz yangu ya kuku lazma ni budget feeds, maintenance etc ndio ata nikiuza naget pia faida