Hii third wave imeaffect businesses zetu sana... especially sisi wa kuuza mitumba..no crowding is allowed na hio ndio inatuprovidia..hata sijalipa rent ya this month due to low income