
Hii time ya campaign ukipata kakiti kidogo save mi ilinisaidia nkaanza biashara yangu ya kuuza nguo na inanilipa fiti sai alafu badala ya viongozi kutumia mayouth kuwalesha sio poa heri io pesa itumike kufungua kitu itajenga vijanaa ama aje?? #tujijenge #mesh
0
0
0