Hii wiki wasee wame-complain sana after Gava iliweka new restrictions za kuzuia spread ya #Covid-19. #Hustle yako imekua affected?