
Hiii curfew imeniaffect sana mostly zile days ilikua imewekwa saa moja kericho most customers hukujia mboga na nyanya saa moja hadi saa hi ndio tym tunakuanga bizy na unapata n curfew tym Mimi nilipata asara kubwa nyanya zilioza vitunguu zikamea ovakado na ndizi zikaoza cabbage na mboga zingine pia zikaoza until nilikua nishaaluse hope kwa hii job tena na kazi ilirudi down to tena sana thank God iliextendiwa am almost catching up again
0
0
0