hio 175 si mbaya na ukisave hivo kwa mwaka utakuwa na 63k clean zako. usiachwe nyuma aisee kuja tusave pamoja