Hio deal ya Eneza ni fiti sana....Interest rates ziko low na Ata mtu anaeza apply grace period kama umelemewa kulipa .
Tuache kuchoma wasee na tulipe loans ndio tugrow