
Hivi ndo nliweza ku earn first 1000 bob kwa Biz angu..nlianza small business ya kuuza sandals na juu sikuwa na duka ama place ya kuuzia nlizianika kando ya barabara. Nliweza kumake my first 1000 bob kwa kuruhusu customers wangu kufanya malipo ya polepole thats pay deposit nikuekee sandal ukimalizia una pick ...
0
0
0