
Hizi app za FL Studio Mobile na Bandlab ni moto sana kwa wasanii wanataka ku-create beats on the go. Hua zinakubali kuwa flexible, yani unaweza compose kitu kwa simu na bado inakaa professional. Jameni sijui mbona mnashindwa vipi ku-explore hii app kwa simu yenu? Ama mnajua app ingine ya kuchambua?"

0
0
0