Hizi bulb za colours ati naskia hua zinameza tokens kumeza. Nliona juzi kwa ploti watu tunashare meter na wao wakicomplain ati mimi nichange bulb nieke hizi za white, tebu mnichanue the analogy behind this.

0