
Hizi grafiti za Kinyozi buana saa zingine hua zinakuanga zimeuma nje. Artists wa Kinyozi si ati nini but in my opinion tunafaa ku improve a little bit. Hatutaki watu waanze kuprint hizi graphics kwa large posters and canvases kama venye nliona wengi huko tao wakifanya. Practice practice practice! Tupee watu kazi clean watukubali buana you guys.

0
0
0