Hizi ndio ujanja zitafanya uomoke kwa #Hustle ama baishara yako! We don't have to start big. Biz kama kuuza mayai inaeza ku-sustain life ya msee poa sana.
Biz gani ingine wasee hawajatambua?