Akili ni nywele ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Hizo nywele zinaanguka baada ya haircut kwa kinyozi, zinafanywa aje?
Jamaa kutoka TZ anazibadilisha zinakuwa mboleaπ ...imagine!
Organic Fertilizer π
Na ame-win many awards due to his innovation!
Alafu unakaa home eti hakuna kazi π
Ka-ujanja ka-dogo tu, ndio inahitajika kwa hii life π€πΏ
Cheki stori ya huyu jamaa hapa β¬οΈ
https://www.instagram.com/r...
0
0
0