
Hope mko poa venue bei y gas imepanda I have decided to change plans hapa kuna kitu yaitwa ukwaju or tamaride kwa vyenye kuna joto coast nimeambiwa kinda juice it doesn't require a lot of capital coz silazima u fridge u just need ndoo transparent, sugar, ukwaju n tangawizi iliki maji n ice so 1kg y ukwanju ni 60 tangawizi 1kg80 ndoo 200 iliki 40 sugar 1kg 100 so one kg ya ukwanju y toa 20liters utamia 2kg y sugar 1kipande y tangawizi ndoo moja u can make 1k coz chupa y 500ml 20bob but usijaze sana try usibaki nyuma
0
0
0