
Hope tumeanza wiki poa. Boy wetu anaitwa #KenaYoungKing anatuchapia juu ya #Hustle yake
Vipi wasee - naitwa Kennedy kwendo lakini popularly known as #Kena Kraizy youngking. Mostly wasee wanatujua kama #KawangwareKings. Nime-do music for 3 years so far iko fiti sana and music is what feeds me.
Nime-get challenges hii time ya covid-19 coz hakuna events na hapo ndo si hupata doh ka wasanii but all in all sijapoteza hopes nime-take advantage of this situation ku-sharpen skills zangu na kupiga prako daily na pia since hakuna shows niliamua ku-make good use of digital platforms eg YouTube kusambaza music yangu na ku-learn skills zingine ka kujua kuji-producia ngoma.
I thank this Community kwa kutuleta pamoja. I would encourage kila msee that with hard work kila kitu ni possible na time matters a lot. Leo Niko hapa ku-MESH na nyinyi na kujibu maswali hapa kwa comments especially kwa wesee wakona passion ya ku-venture in #Music Unaeza nipata Kwa social media platforms zote @Kena Kraizy youngking, tunaeza interact zaidi