How do supermarket people handle rats from their stores na sikutanangi na panya ama unga imeumwa Naivas? Mimi kaduka kadogo tu asubuhi panya wamekula mikate na kunywa maziwa wakachoka.