How do you deal with customers 🤔 wakati unahudumia wengine unaeza share na sisi maybe tunaeza Pata ideas poa vile unaweza handle customer asiboke adi umalizie mwingine ndio pia yeye hapate huduma