How Hustlers Make Extra Cash from Single-Piece Mtush Cameras
Vipi Meshers 👋
Kuna hustle imekuwa common wasee wanabuy single-piece mtush cameras kutoka kwa bale ya mtu, then wanaflip kwa bei juu kidogo.
Kwa ground inakuwanga hivi:
- Unanunua camera moja ya mtush (imechaguliwa kutoka bale)
- Unai-test, unasafisha, unapiga picha poa
- Unauzia mtaa/online kwa margin (mfano 3K → 5K)
What do you think, ni hustle mngejaribu ama too risky? 👇
0
0
0