How LPG Gas Refill Biz Works And If It Is Really Profitable
LPG gas refill biz inafanya kazi simple on the surface: unachukua gas wholesale kutoka main dealers or oil companies, una refill or exchange cylinders for customers in your area, alafu una earn difference ya buying price and selling price. Customers wako ni almost kila nyumba, kibandaski, kibanda cha chips, hotels, na small bakeries. Wengi hurudi kwa same shop kila time as long as gas ni genuine, full, safe na service ni fast.
Profit inaweza kuwa poa once ume setup. Margin kwa cylinder moja si ndogo sana, na ukiwa na wateja wa kurudia plus delivery, doh ina build. Lakini capital and compliance ni real: unahitaji secure ground floor space, storage cage, fire extinguisher, licences kutoka county na Energy and Petroleum Regulatory Authority, na sometimes brand deposit kwa companies. Wengi hupata faida nzuri wakicombine LPG na duka, water refill, charcoal, stoves na delivery ya estate, badala ya gas pekee. Meshers, kwa estate yako, gas shop gani hupendwa zaidi, na kwa nini, bei, speed ama trust ya safety? 👇