
How many people have ever thought of starting soap/ detergent business? 🙋 Hii biz hukua fitii sana since haina mambo mob na pia inaleta profit fiti sana , for instance chemical ya kutengeza 10 litres ya sabuni Ina cost 280 Roughly na wewe unaweza uza at 400 then the good thing is that this soap is very easy to make . Bila kusahau unaweza unda pia jik na starsoft . This products are very marketable ,ebu tuchapie hapo kwa comment section what you think about this business
0
0
0