How often do you refresh your phone memory? Ama hata kama sio yako how often unasaidia wazazi kufreshs simu zao? Unaget msee anakam cyber umsaidie kitu kwa phone unaget phone inahang juu ya ads and apps hazifai. Ukiwa hii biz ya cyber, always advice people on best phone practices za kuminize storage and data usage. Unaweza kula hata soo kwa hiyo job.
0
0
0