
How to Boost Slow Laptop Performance š»ā”
š Disable Startup Programs kwa Task Manager ā zenye sio important zisikue zinaji-launch na system.
š ļø Upgrade RAM kama kuna slot free, itaongeza multitasking speed.
šļø Clear Cache & Temp Files: Zinafanyanga system ikue sluggish. Mimi hutumia CCleaner
š Use SSD badala ya HDD ā boot speed na loading time zitakua fasta
š® Adjust Graphics Settings ā punguza effects kama animations kwa Performance Options.
Alafu sijui kaa mmechungulia pale kwa opportunities kuna some good options za kulipa pole pole on devices from Shortlist.

0
0
0