How To Deal With Competition Without Losing Your Mind Or Your Customers
Competition siku hizi iko kila mahali. Ukifungua kibanda ya viatu, kesho mwingine anafungua hapo next door. Wakati mwingine competition hutusukuma kuboresha, but other times inaweza kutu-stress, kutupeleka kwa price wars na drama. Kama MESHers, tunataka tucheze game smart, si kwa panic.
Ways to cope with competition like a pro:
- Focus on quality and consistency so customers wanajua ukifungua, service na products ni zile zile fiti.
- Jua your customer vizuri, what they really value, then uongeze extra touch, for example better styling help, packaging or after sales care.
- Usikimbie kushusha bei kila saa, piga hesabu uprice smart so bado unapata profit.
- Learn from competitors badala ya kuwa na chuki, observe what works kwao then improve your own version.
- Tumia MESH and socials kuongeza visibility, story yako na brand yako, so watu wakifikiria hiyo product, wanakukumbuka wewe kwanza.
Kwa biz yako, umefeel competition wapi sana na uliikabiliana nayo aje
Ni strategy gani moja imekusaidia kusimama strong despite mtaa yako kujaa biz kama yako, Hebu share hapa chini, maybe tip yako ndio itasaidia MESHer mwingine leo.
0
0
0